Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 00:14

Trump achangisha mamilioni licha ya mashtaka yanayomkabili


Trump achangisha mamilioni licha ya mashtaka yanayomkabili
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:39 0:00

Timu ya kampeni za 2024 ya rais wa zamani wa Marekani Donald Trump imesema Jumatano kwamba tayari kiongozi huyo amechangisha takriban dola milioni 7 tangu kufunguliwa mashitaka wiki iliyopita, wakati wafuasi wake sugu wakikubaliana na madaia yake kwamba huu ni unyanyasaji wa kisiasa.

XS
SM
MD
LG