Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 04:13

Gavana wa Florida De Santis aingia kwenye kinyang'anyiro cha urais Marekani


Gavana wa Florida De Santis aingia kwenye kinyang'anyiro cha urais Marekani
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Gavana wa Flordia Mrepublican Ron De Santis ametangaza rasmi atagombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024. Lakini ili kukabiliana na mgombea wa chama cha Demokratic Rais Joe Biden, itamlazimu De Santis amshinde rais wa zamani Donald Trump katika chama cha Republican.

XS
SM
MD
LG