Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 08:42

Wafanyabiashara Tanzania wafunga maduka kugomea wanachodai kero kutoka Mamlaka ya Mapato


Wafanyabiashara Tanzania wafunga maduka kugomea wanachodai kero kutoka Mamlaka ya Mapato
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Wafanyabiashara katika soko la kimataifa Kariakoo nchini Tanzania wamefunga maduka yao kugomea kile wanachodai ni kero kutoka Mamlaka ya Mapato.

Kenya na Somalia zakubaliana kufungua mpaka wake baada ya kuwa umefungwa kwa zaidi ya muongo mmoja.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG