Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Januari 24, 2025 Local time: 16:02

Rais wa Uturuki atoa fununu juu ya kufanyika uchaguzi Mei 14, 2023


Rais wa Uturuki atoa fununu juu ya kufanyika uchaguzi Mei 14, 2023
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:44 0:00

Rais wa Uturuki amegusia kuwa uchaguzi utafanyika Mei 14, 2023 akisalia na mpango wake wa zamani akitaka upigaji kura kufanyika siku hiyo. Ungana na mwandishi wetu akileta maelezo ya zoezi hilo la uchaguzi lenye ishara ya mkanganyiko. Endelea kusikiliza...

XS
SM
MD
LG