Serikali ya DRC siku ya Jumatatu iliwalaumu waasi wa M23 kwa shambulizi dhidi ya helikopta na kumuua mwanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa, huku mamia ya watu katika mji wa mashariki wa Goma wakiandamana kutokana na kukithiri kwa ukosefu wa usalama katika eneo hilo.