Miongoni mwa wasomi hao Profesa Aldin Mutembei na Profesa Shani Omary wanasema mchango na maono ya Titi Mohamed na harakati zake za kupigania uhuru wa Tanganyika itasaidia vizazi vya sasa na kupanua wigo kwa wanawake kujitokeza kwa nafasi mbalimbali wasisubiri kuwezeshwa