Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 03:28

Muungano wa majeshi ya Afrika Mashariki yaomba waasi kusalimisha silaha


Muungano wa majeshi ya Afrika Mashariki yaomba waasi kusalimisha silaha
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Muungano wa wanajeshi kutoka mataifa ya Afrika Mashariki imeyaomba makundi yote ya waasi yanayoshikilia silaha hasa M23 kusalimisha silaha.

Michuano ya Kombe la Dunia inaendelea kunoga nchini Qatar na huku Saudi Arabia ikiushangaza ulimwengu wa soka kwa kuishinda Argentina.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG