Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 20:57

Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus alalamikia hali iliyoko Tigray , Ethiopia.

Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus alalamikia hali iliyoko Tigray , Ethiopia.
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Tedros amesema kwamba serikali ya Ethiopia imezuia misaada pamoja na mawasiliano kwenye eneo hilo, na kwa hivyo kuwa vigumu kwake kupelekea jamaa zake misaada, wakati yeye mwenyewe akiwa mzawa wa Tigray.

XS
SM
MD
LG