Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 07:41

Russia yadai wanajeshi zaidi wa Ukraine wamejisalimisha Mariupol


Russia yadai wanajeshi zaidi wa Ukraine wamejisalimisha Mariupol
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Waziri wa Ulinzi wa Russia Alhamisi amedai kuwa wanajeshi zaidi wa Ukraine wamejisalimisha katika mji wa Mariupol.

- Serikali ya Kenya imethibitisha kufukuzwa kwa mtendaji mkuu wa Ufaransa wa moja wa wafanyabiashara wakubwa wa mafuta nchini Kenya, kufuatia tatizo la uhaba wa mafuta.

- Polisi inafanya uchunguzi wa shambulizi la risasi lililofanywa na polisi dhidi ya mwanaume mweusi Michigan.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG