Viongozi hasimu wa Sudan Kusini Rais Salva Kiir na Riek Machar katika kile ambacho kimepongezwa ni mafanikio makubwa walikamilisha makubaliano Jumapili kuhusu kipengele muhimu cha kijeshi katika mkataba wa amani uliokwama na kuapa kunyamazisha bunduki zao