No media source currently available
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amepongeza siku ya kihistoria Alhamisi wakati nchi yake imefikia hatua muhimu ya kutoa dozi bilioni moja ya chanjo ya COVID-19.