No media source currently available
Wavuvi wadogo nchini Kenya wamesema kuwa samaki wamepungua sana katika pwani ya nchi hiyo ambako wavuvi wengi bado wanatumia uvuvi ambao hauna miundo mbinu ya kisasa