Kungamano la uchumi na biashara za majini linaendelea nchini Kenya, ambako washiriki zaidi ya elfu nne wanakutana kujadili ustawishaji uchumi wa baharini , maziwa na mito ili kuboresha maisha ya wote. Upungufu wa dawa za ungonjwa wa kisukari aina ya pili waanza kuonekana