No media source currently available
Wafanya biashara wadogo wadogo wa mpakani waomba kusikilizwa maombi yao ya kupewa nafasi katika mpaka wa Kenya na Tanzania ili waweze kuendeleza biashara zao mpakani hapo.