No media source currently available
Washiriki zaidi ya 4000 na maraisi wa mataifa saba wamekuwa miungoni mwa watu waliohudhuria ufunguzi wa kongamano la uchumi wa majini lililoanza Nairobi Kenya.