No media source currently available
Kundi la watafiti kutoka chuo kikuu cha Stanford jimbo la California wamebuni mfuno mpya wa kukubaliana na joto . Vazi ili litalenga waauguzi wa ugonjwa wa ebola ambao hutumia muda mwingi kufanya kazi kwenye mazingira ya joto.