No media source currently available
Wafanyakazi wa idara ya zima moto nchini Marekani wanajaribu kukabiliana na moto ambao umeteketeza sehemu kubwa ya mbuga ya taifa ya Yosemite, katika jimbo la California