Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 19:02

Tanzania yatoa chanjo ya mlango wa kizazi kwa wasichana


Tanzania yatoa chanjo ya mlango wa kizazi kwa wasichana
please wait

No media source currently available

0:00 0:06:09 0:00

Tanzania imeanza kutoa chanjo ya mlango wa kizazi kwa wasichana waliotimiza umri wa miaka 14 ili kuwalinda na hatari ya kupata saratani. Ugonjwa wa saratani umeonekana kuwa ni moja ya sababu zinazopelekea vifo hasa kwa wanawake wengi. George Njogopa kutoka Dr es salaam anaarifu zaidi.

XS
SM
MD
LG