Dawa za Kulevya: Wasichana na janga la uhalifu Kenya (Namba 2)
Kwenye sehemu ya pili na ya mwisho katika makala inayohusu wasichana wachanga jijini Nairobi nchini Kenya walivyojiingiza katika mtego wa uhalifu kutokana na athari ya dawa za kulevya, umaskini na shinikizo la wanarika na hata kutumia bunduki kuwapora wananchi, tunakueleza jinsi wasichana hawa walivyonusurika kutoka kwa uhalifu na ujambazi huo, changamoto walizozipitia na pamoja na jinsi vituo vya kurejesha tabia na mashirika ya kijamii yanavyoimarisha juhudi za kuwarudi wasichana hao ambao wengine wao wametelekezwa na familia zao. Tujiunge na Mwandishi wetu wa Nairobi, Kennedy Wandera...
Matukio
-
Novemba 25, 2024
REPORT SIKU 16 ZA KUZUIA UKATILI WA KIJINSIA.mp3
-
Mei 28, 2024
Biden na Trump watafuta kura za wanawake
-
Mei 01, 2024
Rwanda yaunda mkakati mpya wa ajira kwa vijana
-
Februari 05, 2024
Ziara ya rais wa Poland nchini Kenya kuimarisha ushirikiano
-
Desemba 19, 2023
Moise Katumbi afanya kampeni ya uchaguzi Bukavu