Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Aprili 02, 2025 Local time: 08:33

Kenya yalaumiwa kwa kuruhusu RSF kukutana Nairobi


Mkutano wa kundi la RSF na vyama vya kisiasa vya Sudan mjini Nairobi
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:48 0:00

Serikali ya Kenya imkosolewa na mkuu wa jeshi la Sudan na baadhi ya wakosowaji wa nchi hiyo kwa kudai imefanya kitendo cha uhalifu wa kutowajibika kwa kuwaruhusu waasi wa kundi la wanamgambo wa Sudan RSF kukutana Nairobi na kupanga kutangaza serikali ya uhamishoni.

Forum

XS
SM
MD
LG