No media source currently available
Mashambulizi ya vituo vya usalama huko pwani ya Kenya na mauwaji ya polisi 21 kaskazini ya nchi yamezusha hali ya wasi wasi wa usalama, wakati vikosi vya usalama vikiwatafuta wahusika wa mashambulio hayo yaliyotokea mwishoni mwanzoni mwa Novemba