Mwaka 2024 umekumbwa na matukio mbalimbali ya afya yaliyotokea ambapo mengine yalikuwa ya madhara na mengine yenye kuielimisha jamii.
Katika mfululizo wa Makala zetu za mwisho wa mwaka kwenye kipindi cha afya tunazungumzia matukio makubwa yaliyotokea katika mwaka wa 2024.
Miji mikuu kote duniani inajitayarisha kwa sherehe za mwaka mpya baada ya kuaga mwaka 2024 uliogubikwa na vita na msukosuko wa kisiasa.
Mwaka 2024 ulishuhudia kuongezeka kwa shughuli za kisiasa barani Afrika, vyama vilivyotawala kwa muda mrefu vikipitia mtihani mkubwa kushinda uchaguzi.