Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda tatizo kuu la usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni ukosefu wa uongozi madhubuti ndani ya nchi hiyo, na siyo ushawishi wa Rwanda kama inavyodaiwa na Rais wa DRC Felix Tshisekedi. Endelea kusikiliza...
Mkutano wa baraza kuu la UN 2024
Ijumaa 27 Desemba 2024
FelixTshisekedi akihutubia Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA), New York, Marekani.