Kellyanne Conway, ambaye sasa ni mshauri wa Trump baada ya kufanya kazi kama meneja wake wa kampeni, aliliambia shirika la habari ya MSNBC kuwa Trump "hana nia ya kuendeleza madai hayo."
Chama Republican kinaendelea kushikilia wingi katika baraza la wawakilishi wakati Wademokrat wana wingi katika baraza la Seneti.
Vyomvo vya habari vya Marekani vinaashiria kwamba Rais Barack Obama atachaguliwa kwa awamu ya pili baada ya kushinda uchaguzi wa Jumanne.
Mamilioni ya wamarekani wanapiga kura katika uchaguzi muhimu wenye ushindani mkubwa kuwahi kutokea. Wapiga kura wengi wamekuwa wakisubiri kwa saa kadhaa kupiga kura zao.
Rais wa Marekani Barack Obama na mpinzani wake Mitt Romney siku ya jumatatu walifanya kampeni za dakika za mwisho kwa wapiga kura katika majimbo muhimu
Kampeni ya zaidi ya mwaka mmoja kugombania kiti cha rais kwa miaka minne ijayo hapa Marekani inafika kikomo Jumatatu usiku.
Majimbo hayo yataelezea nani atapata kura za wajumbe 270 za wabunge waliohitajika kumuwezesha mgombea kuingia White House
Obama asema utawala wake umeonyesha uwezo kwa kuweka vikwazo vikali Iran.
Wagombea hawa wawili waliulizwa maswali ya moja kwa moja na kuyajibu papo hapo na wapiga kura ambao bado hawajaamua nani wamchague Novemba 6.
Mdahalo ulianza kwa suala la shambulio la mwezi uliyopita dhidi ya ubalozi mdogo wa Marekani huko Benghazi nchini Libya
Romney amshinda Obama katika mdahalo wa kwanza kulingana na wapiga kura wa marekani. majadiliano yalizingatia masuala ya uchumi na sera za ndani.
Pandisha zaidi