Ameyasema hayo wakati akilipongeza taifa la Ukraine kwa kukabiliana na uvamizi wa Russia katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Ukraine Jumatano.
Zelenskyy asema Russia imeshindwa kuwanyang'anya wananchi wa Ukraine uhuru wao
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy anasema baada ya miezi sita ya jaribio la Russia kutaka kuiangamiza nchi yake, wananchi wa Ukraine na nchi yao imebakia kuwa ni huru.