Zaidi ya watu 500 wamefariki kutokana na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa katika jimbo la Kivu kusini, DRC, huku baadhi ya nyumba zikisombwa hadi Ziwa Kivu . Serikali ikitangaza idadi ya watu waliofariki kuwa takriban 200 lakini wakazi wanasema ni zaidi ya elfu moja.