White House imekanusha kuwa washirika wa NATO wana wasiwasi kuhusu uongozi wa Biden

Your browser doesn’t support HTML5

Ikulu ya White House Jumatatu ilikanusha kwamba washirika wa NATO wana wasiwasi kuhusu uongozi wa Biden.

Shinikizo la vijana nchini Kenya hatimaye limezaa matunda baada ya Rais Ruto kusaini mswaada wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC kuwa sheria.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari