Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Olivier J.P Nduhungirehe akijibu tuhuma za DRC
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda tatizo kuu la usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni ukosefu wa uongozi madhubuti ndani ya nchi hiyo, na siyo ushawishi wa Rwanda kama inavyodaiwa na Rais wa DRC Felix Tshisekedi. Endelea kusikiliza...