Maktaba ya VOA: Waziri Nkaissery alipokanusha usajili wa wapiga kura nje ya Kenya

Waziri Joseph Nkaissery siku moja tu kabla ya kifo chake. Anaonekana kwenye picha hii akihudhuria mkutano wa maombi katika bustani za Uhuru Park, mjini Nairobi, Kenya. Julai 7, 2017.

Aidha, Nkaissery, ambaye aliaga dunia siku ya Jumamosi, tarehe 8 Julai, 2017, alikanusha ripoti kwamba baadhi ya maafisa wa ngazi za juu serikalini walikuwa wanawalazimisha raia kujisajili kama wapiga kura.

Sikiliza mahojiano ya waziri huyo na BMJ Muriithi:

Your browser doesn’t support HTML5

Joseph Nkaissery