Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan aachiliwa, Mahakama yasema alikamatwa kinyume cha sheria

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan aachiliwa kwa dhamana siku moja baada ya mahakama ya juu kuamua kwamba alikamatwa kinyume cha sheria. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili ambapo bado Khan ataendelea kukabiliwa na kesi ya ufisadi.