Watu wakimbia mapigano kati ya M23 na wanajeshi wa FARDC karibu na Rutshru, DRC
Wakazi wakimbia mapigano kati ya M23 na wanajeshi wa FARDC mashariki ya DRC
Mvutano kwenye kivuko cha mji wa Beni
Maandamano ya kuitisha amani mashariki ya DRC
DRC soldiers from the FARDC fighting with M23 near the town of Rutshuru
Watu wakimbia vita Rwanguba, mashariki ya DRC
Watoto wakimbia vita na wazazi wao kutoka Rwanguba. DRC
Mkazi wa Ringira azungumza na Sauti ya Amerika kuhusu mapigano ya M23
Wakazi wa vijiji karibu na mji wa Rutshuru mashariki ya Congo wanakimbia mapigano makali kati ya wanajeshi wa FARDC na wapiganaji wa M23 wanaosonga mbele na kunyakua miji zaidi.