Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Watoto nchini Sudan wakabiliwa na janga la utapiamlo na vifo
Your browser doesn’t support HTML5
Unicef imesema watoto laki saba wa Sudan wana uwezekano wakupata utapiamlo mbaya sana mwaka 2024 ikiwemo wengine kufariki.