Watanzania washerehekea miaka 50 ya Muungano

Nembo rasmi ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania

Waasisis wa Muungano wa Tanzania Julius Nyerere na Abedi Amani Karume wabadilishasna hati ya makubaliano ya Muungano

Julius Nyerere Rais wa zamani wa Tanzania akichangaya mchanga wa Zanzibar na Tanganyika kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania akagua gwaride la jeshi kwwnye uwanja wa Uhuru, April 26 2014

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania awasalimia wananchi akiingia uwanja wa Uhuru kwa herehe za miaka 50 ya Muungano

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania akimkaribisha Rais Joyce Banda wa Malawi katika sherehe za Muungano April, 25 2014

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amkaribisha rais wa Zanzibar Dk. Shein, April 26 2014

Jukwa la Viongozi wakati wa sherehe za miaka 50 za Muungano wa Tanzania

Wasani a Tanzania wakiwatumbuiza wananchi kwenye sherehe za miaka 50 za Muungano