Wasiwasi waibuka Kenya kuhusu ubora wa dawa za Ukimwi/HIV

Your browser doesn’t support HTML5

Wasiwasi mkubwa umezuka nchini Kenya kuhusu ubora wa dawa za kupunguza makali ya HIV/Ukimwi baada ya kuzuiliwa bandarini na wizara ya afya kusema huenda zikawa hatarishi kwa binadamu.