Wasiwasi unatokana na nini wakati Marekani ikielekea katika uchaguzi Novemba 05?

Your browser doesn’t support HTML5

Uchaguzi wa rais wa Novemba 05 unasababisha wasiwasi kwa karibu robo tatu ya wale waliohojiwa na chama cha wanasaikolojia cha Marekani.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea sababu inayopelekea kuwepo wasiwasi huo, Endelea kusikiliza...