Ungana na mwandishi wa VOA akikuletea wasifu kamili wa mgombea huyo wa urais. Endelea kusikiliza.
Wasifu wa Rais-mteule wa Marekani Donald Trump
Your browser doesn’t support HTML5
Katika muda wa miaka tisa Rais-mteule wa Marekani Donald Trump amekigeuza chama cha Republikan katika nchi inayozidi kugawanyika. Endelea kusikiliza ni Trump anafanya katika juhudi zake za kurudi katika hali ya kipekee ya kisiasa.