Katika kampeni, anazungumzia kuhusu siku muhimu za maisha yake huko Nebraska na vile zilivyoweza kumjenga, mgombea na gavana. Mwandishi wa VOA Natasha Mozgovaya alitembelea jimbo hilo kufahamu mengi zaidi jinsi watu wa Nebraska wanavyo mkumbuka na hisia zao juu yake. Sunday Shomari anaisoma ripoti kamili.
Wasifu wa mgombea mwenza wa Chama cha Demokratiki Tim Walz
Your browser doesn’t support HTML5
Tim Walz alichaguliwa mihula miwili kuhudumu kama gavana wa Jimbo la Magharibi kati la Minnesota kabla ya kuteuliwa na Kamala Harris kuwa mgombea mwenza.