JD Vance alikulia katika eneo la Appalachia kaskazini alisoma katika chuo mashuhuri kinachojulikana kama Ivy League na huenda atakuwa makamu rais kijana katika historia ya Marekani. Lakini kabla ya kufika hapo mwandishi wa Sauti ya Amerika Carolyn Presutti ametutayarishia wasifu wake unaosimuliwa hapa na abdushakur Aboud.
Wasifu wa Makamu Rais-mteule wa Marekani JD Vance
Your browser doesn’t support HTML5
Maisha ya mgombea mwenza aliyeteuliwa na rais wa zamani Donald Trump ni hadithi inayofanana na “kijana wa mji mdogo aliyefanikiwa.”