Wanariadha wa Afrika watiafora kwenye mashindano ya Mabingwa wa Riadha Duniani Oregon, Marekani

  • Abdushakur Aboud

World Athletics Championships

World Athletics Championships

Abel Kipsang wa Kenya akipambana katika mbio za awali za mita 1 500, Eugene, Oregon

Mcuba Maykel Masso akiruka katika mashindano ya Long Jump, Eugene Oregon.

Nusu finali ya mbiyo za mita 1500 za wanawake, Eugene< Oregon

Letesenbet Gidey, wa Ethiopia anyakua medali ya dhahabu mbiyo za mita 10,000 akifuatwa na wakenya Hellen Obiri na Chelimo Kipkemboi

Emily Wamusyi Ngii wa Kenya akishiriki kwenye finali ya mashindano ya kutembea Km 20, wanawake mjini Eugene, Oregon Marekani

Mbiyo za mita 3000 katika mashindano ya Mabingwa wa Riadha Duniani

Nusu finali ya mbiyo ya mita 100 wanaume wakati wa mashindano ya Mabingwa wa Riadha Duniani, Ferdinand Omanyala wa Kenya akiwa mbele

Mashindano ya Mabingwa wa Dunia yafanyika Eugene, Oregon Marekani ambako wanariadha kutoka nchi za Afrika wanafanya vizuri.