Wananchi washinikiza kurejeshwa utawala wa kiraia Sudan
Your browser doesn’t support HTML5
Wananchi wa Sudan waendelea kuandamana huku wakishinikiza utawala wa kiraia kurejeshwa nchini humo wakati polisi wakiendelea kutumia nguvu za ziada dhidi ya waandamanaji.