Wamarekani waeleza hofu iliyogubika siku ya shambulizi la Septemba 11

Your browser doesn’t support HTML5

Wamarekani waeleza yale walioshuhudia siku ya shambulizi la Septemba 11 lililotokea New York wakieleza namna watu walivyopata hofu na tukio hilo kuwaathiri kiafya, kifamilia na kisaikolojia.