Wakuu wa jeshi waliopanga mapinduzi Guinea Bissau yaliyofeli wakamatwa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Guinea Bissau aeleza kuwa wakuu wa jeshi waliohusika na mapinduzi yaliyofeli walikuwa wanajihusisha na magenge ya madawa ya kulevya na wako jela.