Wakazi wa Goma walazimika kukimbia milipuko ya mlima Nyiragongo

  • Abdushakur Aboud

Wakazi wa Goma wakiondoka kwa hofu ya kuzuka tena mlipuko wa mlima Nyarigongo

Wakazi wa Goma wakiondoka ni vitu kidogo waloweza kubeba baada ya kuamrishwa kuondoka

Wakazi wa Goma wakiondoka kwa boti baada ya kulazimishwa kuondoka Mei 27, 2021

Wakazi wa Goma wakipanda meli baada ya kuamrishwa kuondoka kwa hofu ya kuzuka mlipuko mwengine

Wakazi wa Goma wakusanyika kwenye kituo cha maji

Mkuu wa kijeshi wa Kivu kaskazini amewaamrisha wakazi wa Goma mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuondoka mara moja.