Wadau waeleza vita vya Russia na Ukraine huenda vikaathiri utalii Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Wadau wa Kenya waeleza jinsi vita vya Russia na Ukraine huenda vikaathiri sekta ya utalii na kusabibisha mfumuko wa bei za bidhaa na kuongezeka kwa bei ya mafuta ghafi.