Wabunge Somalia kupiga kura Jumapili kumchagua rais

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge wa Somalia wanatarajiwa kupiga kura Jumapili kumchagua rais wa nchi hiyo na hivyo kumaliza mvutano wa kisiasa uliodumu kwa zaidi ya mwaka moja.