Waasi wa M23 wasitisha mapigano mashariki mwa DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Kundi la M23 lasitisha mapigano mashariki mwa DRC kwa sababu za masuala ya kiusalama wakati ambapo kuna wasiwasi.

Jeshi la Sudan laonyesha mafanikio dhidi ya kundi la RSF wakati vita vinaendelea kusababisha vifo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari