Waasi wa M23 waingia Bukavu, wanajeshi wa DRC waondoka

Your browser doesn’t support HTML5

Waasi wa M23 wameingia Bukavu huku wanajeshi wa DRC wakiondoka katika eneo hilo.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesisitiza kuwa lazima kundi la wanamgambo la Hamas litokomezwe kabisa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari