Majibu haya ni sehemu ya mahojiano maalum yaliofanywa na Sauti ya Amerika, VOA, na wataalam wa afya wakiangalia changamoto za kukabiliana na janga la corona Afrika. Tafadhali endelea kufuatilia sehemu ya pili ya mahojiano wiki ijayo.
#voac19townhall : Ushauri juu ya maambukizi ya COVID-19 ndani ya familia
Your browser doesn’t support HTML5
Dkt Tsion Firew, Mhadhiri wa Tiba ya Dharura, Chuo Kikuu cha Columbia azungumzia nini familia yapaswa kuzingatia panapo kuwa na maambukizi nyumbani.