Viwango vya umaskini barani Afrika vinaongezeka licha ya viongozi kutoa ahadi za kuuangamiza umaskini

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati idadi ya watu wanaishi katika umaskini imepungua duniani. Kwa bara la Afrika, hususani katika nchi zilizo Kusini mwa jangwa la Sahara kiwango kikubwa cha ongezeko la umaskini kimeshuhudiwa.