Vipimo vya vinasaba kuwatambua watoto walioungua na moto vyafanyika Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Vipimo vya vinasaba vinafanyika kuwatambua watoto walioungua moto katika shule ya msingi Kenya huku shule tano za upili zikiripoti matokeo mengine ya moto.

Sudan imekataa pendekezo la kupelekwa walinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini humo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari